Mojim Lyrics
Mojim Lyrics > Americas singers > Dully Sykes > Miscellaneous > Bijou

Dully SykesLyrics
Album list

Dully Sykes

Bijou

Nikisema i love u sema ilove u too
Nikisema i need sema i need u too
Becourse of every day this is who we do
Please baby girl say love me to me too
Sema unachotaka... sema tuuuu
Milele baby bijou... Ona bijou
Sema unachotaka... sema tuuuu
Wanga watasema... Watajijuuuu

Bonjou bijou baby how u know me
Nimekuwe juu tatizo we haujuiii
Ilike the way u walk ok bijou
Sema unachotaka mtoto wa chuo kikuu
Sema, sema, sema tuuuu
Au twende kinyama gheto east zoo
Au twende nyumbani kwake mr tuu
Basi kula samaki watamu wa mbembe du
Onaa baby buu i love u,
au nikuimbie nyimbo ya kibaden maguu
, au nikuimbie nyimbo ya losqueez makuu
Chochote unachotaka baby sema baby bijou

Nikisema i love u sema ilove u too
Nikisema i need sema i need u too
Becourse of every day this is who we do
Please baby girl say love me to me too
Sema unachotaka... sema tuuuu
Milele baby bijou... Ona bijou
Sema unachotaka... sema tuuuu
Wanga watasema... Watajijuuuu

Sjawahi kuona kama we bijou
Mrembo mambo safi tena kama sister duu
Find more lyrics at ※ Mojim.com
Una manjonjo safi pia mavituu
(tonya, tonya, tonya, tonyatu)
Bijou karibu gheto tia maguu
Achana na wajinga wewe ni wanguu
Njoo upate raha zenye stata muu
Karibu baby buu baby buu karibu basii
Twende mombasa kwa mamuu
Bijou ukatwe we mi natoka damuu
Nimekaa kutekwa hawakunipata muuu
Bijou kukuacha we itakua ngumu

Nikisema i love u sema ilove u too
Nikisema i need sema i need u too
Becourse of every day this is who we do
Please baby girl say love me to me too
Sema unachotaka... sema tuuuu
Milele baby bijou... Ona bijou
Sema unachotaka... sema tuuuu
Wanga watasema... Watajijuuuu

(...)
Nikisema i love u sema ilove u too
Nikisema i need sema i need u too
Becourse of every day this is who we do
Please baby girl say love me to me too
Sema unachotaka... sema tuuuu
Milele baby bijou... Ona bijou
Sema unachotaka... sema tuuuu
Wanga watasema... Watajijuuuu

...THE END...