- 歌詞
- 專輯列表
Leteipa the King
-
Happy Birthday
Verse 1: Imagine tayari nilikuwa nishasahau Kwamba leo ni siku ya kusherehekea Nivenye nimewa busy nikihustle dooh Na picha yako sitaiweka kwa mitandao Na usidhani kwamba sikuwa nacare Nivenye safcom nina deni ya soo
Hook: ningelikuwa na pesa ningekubuyia kagari Nikupe wee my dear Nikupeleke uingereza Ukaone umaridadii Wa dunia Imagine nimeshindwa, kuafford hata kagari, kakukuwishia Happy birthday jibambee
Chorus: Happy birthday...eeeeeeh.uoooooh x2
更多更詳盡歌詞 在 ※ Mojim.com 魔鏡歌詞網 Verse 2: Nakuombea uishi zaidi ya miaka elfu moja Ndo ujionee wajukuu wako pamoja ma vitukuuu Uwaeleze tulivyosaidiana, kama masoldier Na kutoana machozi kama tumela vitunguuu

|