Mojim Lyrics
Mojim Lyrics > Americas singers > Leteipa the King > Mwambie > Mwambie

Leteipa the King



Lyrics
Album list

Leteipa the King

Mwambie

Verse 1:
Nimechoka kumeza mate, wenzangu wakila nyama
Nachotamani anipakate
Awe mitchele niwe obama
Siku hizi nimewa chizi
Kila muda nafikiria
Kile mi nitampatia aingie kwa box
Anajifanya busy
Hataki kunisalimia, anadhani ntamtumia nimtupe kwa choo

Hook:
Mwambie ntafanya chochote ili anikubalie
Ntaacha dawa na pombe ili afurahie
Ntaenda sunday kanisa Sadaka nimlipie
Nitajifanya sofa aje anikalie

Chorus:
(Aeaeaeaaah) mwambie sitaki mwingine
(Aeaeaeaaah) ni yeye tuuu
(Aeaeaeaaah) nitampa chochote pengine
(Aeaeaeaaah) hata nimpeleke majuu
Find more lyrics at ※ Mojim.com

Verse 2:
Natamani niwe yake simu, anifinye kila saa
Awe stude niwe mwalimu iwe lazma aniite sir
Huwa nahisi wivu , rafiki wakimkumbatia, wakati sinawahi msalimia nakanyaga kivuli
Na nina maumivu, natamani kumuambia, ila mashindwa vile ntaanzia ameweka kifuli

Hook:
Mwambie ntafanya chochote ili anikubalie
Ntaacha dawa na pombe ili afurahie
Ntaenda sunday kanisa Sadaka nimlipie
Nitajifanya sofa aje anikalie

Chorus:
(Aeaeaeaaah) mwambie sitaki mwingine
(Aeaeaeaaah) ni yeye tuuu
(Aeaeaeaaah) nitampa chochote pengine
(Aeaeaeaaah) hata nimpeleke majuu